Siasa

Siasa

Joined
Jun 18, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Xaxa 2ondoe ubixh umu ndan kat ya lowasa na magufuli nan unampa urais tz halafu majibu 2tayaxema umu umu ndani
 
Andika vizuri, acha kuleta mambo ya kifacebook...humu

Iheshimu jamii forum, andika spelling sahihi, hata watu watavutiwa kuchangia bwana mdogo
 
Xaxa 2ondoe ubixh umu ndan kat ya lowasa na magufuli nan unampa urais tz halafu majibu 2tayaxema umu umu ndani

Kijana, kama ni kuandika sheng'(swahilinglish) unajua Kenya nambari 1. Andika vizuri ama nikufunike na spellings zangu!
 
Yaani baada ya vyuo kuendelea kufungwa imekuwa shida....
 
Back
Top Bottom