OfficialJustin
New Member
- Jun 1, 2017
- 1
- 0
Unakipi cha Kumshauri Raisi wa Tanzania kwa Mambo anayoyafanya na nini maoni yako kwa watanzania

Huyu uliyemuweka si ndiye katupa huyu wa sasa? Katiba yetu mpya nzuri kombozi ya Warioba iko wapi? Sheria ya makosa ya mtandao ilitiwa sahihi na nani? Escrow? PAP? Hana lolote la kutushauri huyu...Unakipi cha Kumshauri Raisi wa Tanzania kwa Mambo anayoyafanya na nini maoni yako kwa watanzania![]()
Umenikumbusha kelele za upinzani kudai katiba, siku izi hawasikiki/ katiba mpya ishakamilika!Huyu uliyemuweka si ndiye katupa huyu wa sasa? Katiba yetu mpya nzuri kombozi ya Warioba iko wapi? Sheria ya makosa ya mtandao ilitiwa sahihi na nani? Escrow? PAP? Hana lolote la kutushauri huyu...