Siasa

OfficialJustin

New Member
Jun 1, 2017
1
0
Unakipi cha Kumshauri Raisi wa Tanzania kwa Mambo anayoyafanya na nini maoni yako kwa watanzania
351daaddbd14b0936a058fcf66523f66.jpg
 
Huyu uliyemuweka si ndiye katupa huyu wa sasa? Katiba yetu mpya nzuri kombozi ya Warioba iko wapi? Sheria ya makosa ya mtandao ilitiwa sahihi na nani? Escrow? PAP? Hana lolote la kutushauri huyu...
 
Umenikumbusha kelele za upinzani kudai katiba, siku izi hawasikiki/ katiba mpya ishakamilika!

Wanafunzi kugoma juu ya bumu pia hawagomi!! Mzee wa chato kiboko ya mabishoo
 
Back
Top Bottom