Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,371
- 100,421
Hapa hakuna Siasa, hatuzungumzi Siasa na hata mavazi yetu si Ya Siasa. Siasa zimepigwa marufuku. Hapa ni.... Tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui wamelipwa sh ngap hawa kupiga hii picha na Wapinzani wa CCM
Umesema Kweli tupu!Hao ndio wanawake wenye Chama chao.
Huwezi kuwakuta wanawake wanaijitambua huko kabisa.
Mnaponea pazuri, hao ni Waheshimiwa Ma DC wa kesho!Sasa wajumbe tukapone wapi, kwani jela huku?
NifaHao ndio wanawake wenye Chama chao.
Huwezi kuwakuta wanawake wanaojitambua huko kabisa.
Naam mkuu...Nifa
Have a wonderful weekendNaam mkuu...