Nchini Tanzania siasa ni kila kitu hata jambo lisilo la ki-siasa sasa limegeuka kuwa la ki-siasa. Siku za hivi karibuni kumekuwepo na manung'uniko juu ya watoto wa Shule za Msingi na Secondary kutumika katika kusherehesha sherehe mbalimbali katika mijumuuko yao. mfano; Chama cha Mapinduzi kinatuhumiwa kutumia watoto kwenye Sherehe zao za kuazimisha miaka 38 ya chama chao, na jana tarehe 06[SUP]th[/SUP]Feb.2015 tumeshuhudia Kanisa SDA kutumia watoto kwenye sherehe zao je na wao watuhumiwa?
Watoto lazima tuwape haki zao zote ikiwa ni pamoja na kushirikishwa katika mijumuiko mbali mbali na lazima tuwajenge kiafya, na tuache tabia ya kukurupuka kwa kila jambo kwa mgongo wa kisiasa. Mimi binafsi nawapongeza wale wote wanaowatumia watoto katika sherehe mbalimbali kwani waonyesha vipaji vyao na wala Wananchi hatujalalamika kuhusu hilo.
Ushauri; Wabunge wajitahidi kuvumbua na kuibua hoja zenye maendeleo kuliko ilivyo sasa kutafuta jinsi ya kutoka " NITOKE VIPI!"