Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,054
- 23,505
Vyombo vya habari nchini Uganda
vinaripoti kwamba Mgombea Urais
wa chama cha upinzani cha
Forum for Democratic Change
(FDC) Kizza Besigye amekamatwa
wakati akienda kufanya kampeni
kwenye mji mkuu Kampala.
Posili walitumia vitoa machozi
kutawanya msafara wa wafuasi wa
Besigye kabla ya kumkamata na
kumzuilia kwenye kituo cha polisi
katika barabara ya Kira, linaripoti
gazeti la Daily Monitor.