iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Soko la hisa no sehemu ya uwekezaji NA zaidi soko hili liko zaidi dar es salaam,watu wamesambaa mpaka vijijini na hao soko la hisa wana mawakala wachache.....kwa nini wasitumie teknolojia?kwa nini wasiende tcra wakapewa maarifa? Mbona makampuni kama ya vingamuzi yanawazidi akili?wao wanasubiri Tanzania nzima tukajae kwenye hicho kisebule chao?mbona teknolojia zipo jamani? Watu wanataka kununua hisa za makampuni pendwa kama ya sigara,bia,online....unaagiza bia tano.....unanunua hisa za elfu thelasini,hebu amkeni muwe wabunifu