Siasa za Tanzania

Deghe Mangae

Senior Member
Joined
Mar 3, 2020
Posts
171
Reaction score
152
Tuache siasa za chuki, kama sijakupa kura mwaka huu isiwe sababu ya kutoleta huduma muhimu kwangu.

Kumbuka Maendeleo yanaletwa na kodi zetu na sio siasa za chuki, Wabunge na Madiwani acheni siasa za chuki kodi zetu ndo zinaleta maendeleo.

Unatakiwa ujitathimini kwa nini sijakupa kura ikibidi njoo kwangu uniulize kwanini hatujakupa Kura ili tukueleze mapungufu yako na sio kuwekeana bifu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…