Siasa za Tanzania katika picha: Fatma Karume na Membe

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Picha ikiwaonyesha Bernard Membe wakiteta na Fatma Karume.

Tumeachana na mambo ya clip sasa ni live bila chenga.

Ipe maneno.

FB_IMG_1565153982725.jpg


====================
Fatma Karume: Jana hawa WADUKUZI wamenipiga picha nikiwa nakunywa chai na Membe. Sasa sikilizeni: 1. Katafuteni Simu yenye Kamera nzuri. Mnapiga picha saa 5 asubuhi inatoka kama imepigwa USIKU WA MANANE! 🤣🤣 2. Nitakutana na mtu yeyote ninayejisikia kuonana nae. Wapumbavu wakubwa. https://t.co/ViBV3CvIRf
 
Sonophobia
Noun
( uncountable )
An unusual fear of loud noises.

Itakuwa walikuwa wanapiga kelele ukaogopa mkuu, ila hicho siyo kikao cha siri
 
Kwa sasa simu sio rafiki tena. Bora wakutane hivyo hivyo kinyemela, labda watam defeat magu.
 
Hii picha ni ya hivi karibuni ikiwaonyesha Bernard Membe, Fatma Karume na kaka yake Lissu.

Tumeachana na mambo ya clip sasa ni live bila chenga.

Ipe maneno.

View attachment 1174222

Hivi hamna kazi za kufanya zaidi ya kuwachafua watu? Hivi mtu haruhusiwi kukutana na mtu sehemu yeyote ile iliyo alali na kuzungungumza?
Sasa wewe unasema kikao cha siri, je kama ilikuwa siri wewe umejuaje kama ukuwepo kwenye hicho kikao?
 
Back
Top Bottom