Siasa za Mbeya mjini ndiyo zilivyo, msindanganyike na umati wa watu mkutanoni maamuzi wanayo mioyoni mwao

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
Naona UVCCM wageni wanashangilia sana mafuriko ya watu kwenye mkutano wa Rais Magufuli juzi huko Mbeya. Tuwakumbushe tu kuwa Mbeya ndivyo ilivyo, wao kila mwanasiasa huenda kumsikiliza baadae wanafanya yao kwenye sanduku la kura.
Tujikumbushe Nyomi za watu uchaguzi wa mwaka 2015 kati ya Magufuli - CCM na Lowassa - Chadema Ukawa.
Ukizitazama hizo picha na kilichotokea kwenye matokeo ya kura 2015 mtaelewa vizuri. Poleni UVCCM
magufuli.jpeg
IMG_4262-660x400.jpeg
 
Huu ni upuuzi ulioandika, kwani siasa ni chuki kama mnazoeneza na kuaminisha watu hapa JF????

Acha watu wakamsikilize rais wamweleze shida zao, hayo ya sanduku la kura wewe unabashiri tu.
 
Huu ni upuuzi ulioandika, kwani siasa ni chuki kama mnazoeneza na kuaminisha watu hapa JF????

Acha watu wakamsikilize rais wamweleze shida zao, hayo ya sanduku la kura wewe unabashiri tu.
Nzi wa kijani mwenzio msome
Screenshot_20190430-075637.jpeg
 
Sasa watamuelewa Magu hapo huyaoni anayoyafanya? myonge myongeni haki yake mpeni
Naona UVCCM wageni wanashangilia sana mafuriko ya watu kwenye mkutano wa Rais Magufuli juzi huko Mbeya. Tuwakumbushe tu kuwa Mbeya ndivyo ilivyo, wao kila mwanasiasa huenda kumsikiliza baadae wanafanya yao kwenye sanduku la kura.
Tujikumbushe Nyomi za watu uchaguzi wa mwaka 2015 kati ya Magufuli - CCM na Lowassa - Chadema Ukawa.
Ukizitazama hizo picha na kilichotokea kwenye matokeo ya kura 2015 mtaelewa vizuri. Poleni UVCCMView attachment 1084462View attachment 1084463
 
Hoja iliyokuwepo ni Mbeya wana Rais wao ambaye ni Sugu, Kwamba ziara ya Jpm itakua ngumu sana kwa wana Mbeya. Hakukua na Hoja kwamba watu watajaa na ziara yake itakua na mafanikio kama tunavyoona. Vijana wa Ufipa walijaza propaganda humu kuwa jpm ana hali mbaya sana akienda Mbeya, mambo yameenda tofauti mmekuja na defence mechanism oooh Mbeya huwa wanapenda kumsikiliza kila mtu.HUU NI UPUMBAVU KIWANGO CHA SGR.

Sugu hana la maana Huko Mbeya mbele ya CCM na kama utafuatilia vizuri kuna clip Sugu alikua anaitwa na hatokei na Mwisho wananchi wakasema achana naye. Habari za Sugu kuwa Rais Mbeya ni propaganda za humu ndani lkn sio huko Mbeya na ndio maana hata walipomtia ndani wana Mbeya waliendelea kupambana na hali yao. Lisu angekua na nguvu Mbeya kama porojo zilipo humu ndani hakika Mbeya kusingekalika baada ya kutupwa ndani na hii ziara ya Jpm vibaraka wake humu ndani wangeleta tu ushahidi wa nguvu zake.

Niseme tu Mbeya nayoijua na kuishi kwa miaka mingi,ina watu SMART na huwa hawaendeshi na kiki za Mtu zisizo na maslai kwao. Ukifanya ujinga wanakuacha upambane na hali yako.
 
Naona UVCCM wageni wanashangilia sana mafuriko ya watu kwenye mkutano wa Rais Magufuli juzi huko Mbeya. Tuwakumbushe tu kuwa Mbeya ndivyo ilivyo, wao kila mwanasiasa huenda kumsikiliza baadae wanafanya yao kwenye sanduku la kura.
Tujikumbushe Nyomi za watu uchaguzi wa mwaka 2015 kati ya Magufuli - CCM na Lowassa - Chadema Ukawa.
Ukizitazama hizo picha na kilichotokea kwenye matokeo ya kura 2015 mtaelewa vizuri. Poleni UVCCMView attachment 1084462View attachment 1084463
Siasa za Mbeya ndio nini kwani Mbeya wana siasa zao peke yao zczo fanyika kwingine?
 
Back
Top Bottom