Siasa za kifisadi

Siasa za kifisadi

MASAKILIJA

Member
Joined
May 20, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Ukiona mwasiasa anatafuta nafasi ya juu kwa kumwaga pesa tegemea mengi mabaya kwenye uwongozi wake sijafahamu lowasa ana kiasi gani cha pesa mana ni watu wengi sana wanakula pesa ya huyu mzee mimi sioni Kama mwana siasa anaweza kuleta mabadiliko kwa kutumia udhaifu wa Wananchi kufanikisha jambo lake.. hapa kuna tatizo Na lazima lifanyiwe kazi bila Shaka...
 
Back
Top Bottom