Kila mtu alijua baada ya mangi kunyimwa nafasi ya kuliongoza duka la ukoo kwa mara nyingine, atatengeneza mkakati ambao utawahusisha wafanyakazi wa dukani waliokuwa mabest zake ili kumpa wakati mgumu mangi mpya aliochaguliwa na wana ukoo.
Kila mtu alijua wafanyakazi hao watajitangaza kuacha kazi zao na kushawishi wafanyakazi wengine kufanya hivyo ili kudhoofisha utendaji wa uongozi mpya wa duka
Kila mtu anajua wafanyakazi hao watapata nafasi katika maduka mengine shindani na zitakuwa nafasi za juu zaidi ya walizokuwa nazo.