Siasa za bongo kama movie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za bongo kama movie

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AMARIDONG, Feb 23, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  ETI SIMJUI MMILIKI ????RA,JK
  ETI NILIMUOMBA RAFIKI YANGU RA ANISIMAMIE???? BRIGEDIA ALAW
  ETI MIMI HATA SIWAJUI WAMILIKI WA DOWANS WALA SIJAWAHI KUWAONA???JK
  ETI WAMILIKI WA DOWANS HAWATOKI OMANI???? WN
  ETI HATUJAMUALIKA BRIGEDIA ALAWI???TANESCO NA WN

  heeeeeeeeee,,yote haya tunadanganywa sisis au kuna watanzania wengine somwhere??
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu nilikuwa sitaki kusikia movie hii yaani sitaki hata kuitafakari ni UWONGO MTUPU!
   
Loading...