Youbettersleep JF-Expert Member Joined May 3, 2019 Posts 955 Reaction score 1,671 Nov 5, 2025 #1 Asanteni viongozi kwa kujiweka uhalali madarakani ila MUNGU sikuzote hakawii kujibu...wakati utafika tu. Mungu Ibariki Afya Yangu
Asanteni viongozi kwa kujiweka uhalali madarakani ila MUNGU sikuzote hakawii kujibu...wakati utafika tu. Mungu Ibariki Afya Yangu
Mama Naa JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 922 Reaction score 2,165 Nov 5, 2025 #2 Youbettersleep said: Asanteni viongozi kwa kujiweka uhalali madarakani ila MUNGU sikuzote hakawii kujibu...wakati utafika tu. Mungu Ibariki Afya Yangu Click to expand... wameiba uchaguzi mpaka wamepaliwa. Ulikuwa mwendo wa kujaza tu makaratasi hakuna kura zilizopigwa.
Youbettersleep said: Asanteni viongozi kwa kujiweka uhalali madarakani ila MUNGU sikuzote hakawii kujibu...wakati utafika tu. Mungu Ibariki Afya Yangu Click to expand... wameiba uchaguzi mpaka wamepaliwa. Ulikuwa mwendo wa kujaza tu makaratasi hakuna kura zilizopigwa.