WAITARA
Member
- Sep 23, 2013
- 68
- 37
Juzi katika kata ya Kitunda lilizinduliwa Kombe la Marembeka mgeni rasmi alikuwa Jamal Malinzi Rais wa TFF.
Kwa maelezo ya waliohusika inaonekana mwenye Kombe ni Mhe.marembeka Diwani wa kata ya Msongola.
Huyu ni diwani kata nyingine na hata kata yake haina kombe ila ameleta kombe kitunda tena hata bila kuwa shirikisha wenyeji kwa maana ya diwani wa kata ya kitunda.
Jerry Silaa hakuwepo ila mipango iliwekwa sawa na mpambe wake huyo marembeka.kituko ni baada ya kuona jezi zilizotolewa kuwana maneno madogo js!je kwa tafsiri yako JS maana yake nini?Jerry amekwisha tangaza kugombea ubunge Ukonga na kuapa kwamba kwa kuwa yuko karibu na Ridhiwani
kikwete na kwa sasa wana mtandao wa mgombea urais wakiamini kwamba atateuliwa kuwa Waziri.
Ombi langu kwa watanzania na hii ni nchi nzima.Hawa watu wamekuwa madarakani kwa miaka hamsini sasa.wapimwe kwa mema yao na kuwapunguza ili nchi isonge mbele.Kwa mfano jerry ni meya wa manispaa ya Ilala.
Mnakumbuka magorofa yalidondoka hivi kama Mkurugenzi yuko ndani ni kwa nini yeye yuko mtaani?kwa sababu ni mjumbe wa kamati kuu ya CCM?angalia pale kariakoo Roundna Posta katikati ameweka skrepaza ngalawa na meli badala ya bustani.tafakari kisha chukua hatua.
Watu wa ukonga kumbuka kwamba kulikuwa na mafuriko na Jerry hakufika hata siku moja na hadi leo kuna madimbwi makubwa yeye anakuja na mipira.Mpira ni muhimu ila si kipaumbele.jadlili je hii ni sawa?