AKYOO ELIUD Member Joined Apr 20, 2011 Posts 16 Reaction score 2 Apr 22, 2011 #1 hivi taaluma za watanzania huwa zinaheshimika? naona kila mahali wanasiasa ndo wameshika atamu, daktari bosi wake mbunge, enginia kwa diwani hakoi, hakimu naye hana pakupumulia, kuna taifa lilopiga hatua kwa kuwategemea hawa wanasiasa?>??
hivi taaluma za watanzania huwa zinaheshimika? naona kila mahali wanasiasa ndo wameshika atamu, daktari bosi wake mbunge, enginia kwa diwani hakoi, hakimu naye hana pakupumulia, kuna taifa lilopiga hatua kwa kuwategemea hawa wanasiasa?>??
M mzambia JF-Expert Member Joined Dec 31, 2010 Posts 887 Reaction score 63 Apr 23, 2011 #2 karibu jamvini