CountryKing
Member
- Jan 8, 2014
- 26
- 8
Nimekulia katika jamii ya kitanzania ambayo viongozi wetu wa kisiasa sio tu wana nafasi kubwa katika nchi yetu bali hata katika Maisha binafsi Ya watanzania.
Jambo ambalo naliona mimi ni ile nafasi tuliyowapa wanasiasa katika Maisha yetu hawaistahili (not worthy) au niseme tumeitegemea sana Siasa zaidi ya stahili yake.
Siasa yetu imekuwa ya nani anampenda nani, zaidi kuliko je anayependwa ataifanyia nini Tanzania.
Binafsi naskitika watanzania tunajadili vitu kiwe katika sura Ya CCM na CDM, ukiristo na uislam n.k.
Sio mbaya kujadili mambo hayo, masikitiko yangu ni jinsi mtu anavyoweza hadi kuukingia kifua uovu kwa sababu tu anamsapoti mtu flan, chama, flan au dini flani.
Nataman itokee hata siku moja Jambo lijadiliwe katika sura Ya utaifa.
Blue Monday njema