Siasa sio uadui eti

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,651
Reaction score
3,827
Pale gari ya cdm inapowabeba wana ccm
 

Attachments

  • 1415605878299.jpg
    57.1 KB · Views: 461
me mwenyew cjajua ni wp ila itakua vijijin huko watu wamekuls lift
 
Photoshop
Hapana utafiti hiyo ni kweli ilishatokea kwenye mkutano wa ccm. ulipoisha, yale mafuso
yaliyowaleta hayakuonekana wakahaha kupata usafiri wa kuwarudisha.Doublecabin
za m4c zikaingia kazini. Kweli siasa si uadui lakini sijuiingekuwaje kama wanachadema wangekosa
usafiri na mafuso ya ccm yapo.
 
Last edited by a moderator:
Hawa wanasiasa walio ngazi za juu ni marafiki sana na nina uhakika wanaweza hata wakakuchagulieni mtu wao wakampandikiza kwenye chama chenu ili kuwalaghai, mwisho wa siku wote ni wamoja.

Mimi huwa siwaamini wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…