Siasa ni ugomvi ama urafiki?

Siasa ni ugomvi ama urafiki?

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
Hii nimeionea ludewa kijana akiwa karibu kabisa na Katibu Mkuu wa CCM,akifurahi na kutambua sera za CCM,najiuliza nani mstaarabu katika siasa ya leo...angekuwa mwana CCM karibu na Dk.Slaa angepona?

Siasa si ugomvi.....tujifunze toka hapo hili ni somo jingine kwenye siasa.
 

Attachments

  • 4.jpg
    4.jpg
    28.5 KB · Views: 48
  • 2.jpg
    2.jpg
    56.2 KB · Views: 44
  • 3.jpg
    3.jpg
    44.9 KB · Views: 45
Hii nimeionea ludewa kijana akiwa karibu kabisa na Katibu Mkuu wa CCM,akifurahi na kutambua sera za CCM,najiuliza nani mstaarabu katika siasa ya leo...angekuwa mwana CCM karibu na Dk.Slaa angepona?

Siasa si ugomvi.....tujifunze toka hapo hili ni somo jingine kwenye siasa.


Kwanini amepigwa picha huyo KIJANA asihojiwe ni wa CHAMA GANI? Unajua sehemu yoyote NAPE NNAUYE yupo UGOMVI na UNAFIKI UNAKUWEPO sasa hapo kwanini hawakuonyesha wakati NAPE NNAUYE akiongea huyo kijana alirusha hiyo MIKONO au alivua hilo shati la NJANO?

Kwahiyo kwasababu amevaa shati la NJANO ndio SIFA na kuita URAFIKI????

Na kwanini Umekimbilia kumlinganisha KINANA na Dr. Slaa? na kum-JUDGE wrongly Dr.Slaa? Haujui Judging a human being is a SIN?
 
Back
Top Bottom