Euphransia
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 937
- 778
Kuna mtanzania kaandika thread humu akidai Chadema ni Dambo la CCM.akimaanisha wale wote waliotoka CCM Na kujiunga Chadema nikama Dampo.
Mie napinga dhana hiyo Kwa sababu Siasa in kama mpira wa miguu.
Huwezi kuniambia wachezaji watatu wa Yanga wakihamia Simba basi Simba in Dambo la Yanga, je wachezaji hao wakirudi Yanga Kwa hiyo Yanga ni Dambo la Simba?
Je Mh.Lowassa akirudi CCM, CCM ni Dambo la Chadema?