Sasa si ndio mlitakiwa mlirelax kuwa CDM ina kiongozi mbovu !!!!!! Cha ajabu anawatia jamba jamba mpaka mmeajiriwa kumkashifu !!!!?
Tunaotaka atoke ni sie wana chama. Si kila kitu mnawasingizia Lumumba
Alituingiza chaka 2015 kwa tamaa za kipumbavu kabisa.
Tukapoteza muelekeo na sasa tunatafutiza visingizio ili tuendelee kuwepo.
CHADEMA hatukuwa hivi.