Siasa mufilisi za Mbowe za kuchochea vurugu atabakia mwenyewe barabarani na FFU

Sasa si ndio mlitakiwa mlirelax kuwa CDM ina kiongozi mbovu !!!!!! Cha ajabu anawatia jamba jamba mpaka mmeajiriwa kumkashifu !!!!?

Tunaotaka atoke ni sie wana chama. Si kila kitu mnawasingizia Lumumba
Alituingiza chaka 2015 kwa tamaa za kipumbavu kabisa.

Tukapoteza muelekeo na sasa tunatafutiza visingizio ili tuendelee kuwepo.
CHADEMA hatukuwa hivi.
 
Sio mungu mtu, Nyerere alikua kichwa sio huyo chagadema kichwa kimejaa makande hajui hata vision ya chama chake ni nini na kinasimamia. Acha kabisa kulinganisha mlima na kichuguu..Alieleta huu uzi ana point za maana sana.
Mwenyekiti hajui chama kinasimamia nini na nimpigaji! Sasa kinawaumiza nini si mumuache aendelee ili ccm ikose mpinzani! ?
 
Tunaotaka atoke ni sie wana chama. Si kila kitu mnawasingizia Lumumba
Alituingiza chaka 2015 kwa tamaa za kipumbavu kabisa.
Tukapoteza muelekeo na sasa tunatafutiza visingizio ili tuendelee kuwepo.
CHADEMA hatukuwa hivi.
Wewe sio mwanachama wa chadema acha ushankupe! Huyo aliyewafikisha kwenye hiyo chadema unayoitaka wewe ni nani kama sio mbowe?
 
Wewe sio mwanachama wa chadema acha ushankupe! Huyo aliyewafikisha kwenye hiyo chadema unayoitaka wewe ni nani kama sio mbowe?
Ni kweli. Mbowe alikuwa vizuri sana kabla hajafika bei 2015.
Ila baada ya hapo ni yeye huyohuyo kakifikisha chama katika aibu hii tuliyonayo leo.
Chama hakijulikani kinasimamia nini. Agenda walishamuuzia Lowasa 2015
 
"The smallest minority on earth is the individual. Those who deny individual rights cannot claim to be defenders of minorities.”
Mimi kwa matazamo wangu Mbowe ni mbinafsi sana na anatumia vurugu aonekana anaonewa na serikali.
Siasa za kutafuta public sympathy sioni future yake.
Asimame kiume atamke " I am stepping down now"
Siasa za Mugabe za ubinafsi tumezichoka, alirithishwa chama na babamkwe sasa sijui CHADEMA atarithishwa nani sasa.
Siasa za Lisu kupigwa risasi ni zaajabu sana. Lisu ni mtu mmoja tu tunasahau wale askali nane waliyopigwa risasi. Tanzania tunaamin Binadamu wote ni sawa why Lisu and not Askari? why maiti za baharini zisizo na ndugu na not askari waliyo na ndugu?

Tuache siasa chafu

Hongerèni sana nasikia mnamfanyia party Bwana Lowassa!
 
Mimi binafsi sio CDM na ninaona pia kuwa Mbowe analeta ubinafsi CHADEMA lakini tuwe wakweli na itumike logic. Ni nani analeta siasa za kupigwa Lissu risasi zaidi ya mpiga risasi? Anaechochea vurugu ni anaepiga au anaepigwa? Unamlaumu victim?

Kulaumu kelele kuhusu maiti zisizojulikana ni kutoelewa upana wake. Mauaji yote ni mabaya na yakukemea.

Yale ya askari yameshughulikwa, je yale mengine? Yale ya askari hamna anae bisha kuwa perpetrators ni waovu, vipi ukimiya wa yale mengine? Maana yake nini? The reactions are different.

Sintofahamu hiyo ndio issue kubwa kwa sababu inaleta mtazamo mbaya na mkubwa zaidi. Kwa hiyo mpaka wafike Lissu nane ndio watu wapige kelele?
 
Weye kenge kwahio unataka kulinganisha kukaa kwa Nyerere na huyu mpigaji wenu Mbowe.. kweli kuna watu na viatu.
Ndio uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua mambo ulipoishia hapo mkuu. Wao wako vizuri sana kwenye Matusi, kejeli na Uchochezi uchwara. Bila kusahau kufuja hela ya walipa Kodi (RUZUKU) kwa matumizi yao binafsi. Pia kuteua nafasi za Viti maalum (Ubunge) kwa mahawara zao.
 
Ni kweli. Mbowe alikuwa vizuri sana kabla hajafika bei 2015.
Ila baada ya hapo ni yeye huyohuyo kakifikisha chama katika aibu hii tuliyonayo leo.
Chama hakijulikani kinasimamia nini. Agenda walishamuuzia Lowasa 2015
Wafuata mkumbo ni wengi sana

Yote unayoyasema huna taarifa rasmi ni kujidangiza humu ndani
 
Chadema agenda yao KATIBA MPYA.

TUME HURU

Na kupinga UDIKTETA.
Mngezia kwenye Chama chenu kwanza kuweka sawa; a.) Katiba Mpya ili kuweka ukomo wa Mwenyekiti wa Chama (Taifa). b.) Muwe na Tume Huru ndani ya Chadema ili kuepuka kuteua MAHAWARA na madada wa viongozi wa Chama kwenye nafasi za Ubunge (Viti maalum). (c.) Chadema kabla haijapinga UDIKTETA nje ya Chama ijitafakari kwanza kwa Udikteta unaofanyika katika nafasi ya Mwenyekiti (Taifa) na Genge la Wahuni (Kanda ya kaskazini).

Kila la kheri.
 
Kwa sasa sio siri tena. Uwepo wa Mbowe CDM unakupeni taabu sana. Kama kweli hafai/mbovu kama mnavyoimbishwa na kuimba, ingekuwa ndio furaha kwenu, kama ilivyo kwa Cheyo, Mrema, Lipumba, Shibuda na vichekesho vingine ktk demokrasia.

Vilio vyenu vya kutaka Mh Mbowe aondoke ni ushuhuda kwa CDM kuwa ndie anafaa kuendelea ili kuiokoa nchi yetu isifike kwa North Korea.

Na viongozi wote ambao ujasiri mkubwa waliokataa ghiriba za "kununuliwa" ndio wataikomboa nchi kutoka kwenye "umanamba" wa ndio na kusifu kila kitu.
Amen.
 
Mngezia kwenye Chama chenu kwanza kuweka sawa; a.) Katiba Mpya ili kuweka ukomo wa Mwenyekiti wa Chama (Taifa). b.) Muwe na Tume Huru ndani ya Chadema ili kuepuka kuteua MAHAWARA na madada wa viongozi wa Chama kwenye nafasi za Ubunge (Viti maalum). (c.) Chadema kabla haijapinga UDIKTETA nje ya Chama ijitafakari kwanza kwa Udikteta unaofanyika katika nafasi ya Mwenyekiti (Taifa) na Genge la Wahuni (Kanda ya kaskazini).

Kila la kheri.

Mbona mwenyekiti wenu kampa wizara yakokoto hawara yake?

Na yule hawara mwengine kupewa nyumba ya shirika.

Mmhhh!!! Wasukuma ata hatujaongea walivyopewa vitengo nyeti hayaa sio agenda yetu.

1.KATIBA
2.TUMEHURU
3.UDIKTETA MWISHO 2020
 
Back
Top Bottom