Siasa michezoni: Simba kapigwa M4C

Siasa michezoni: Simba kapigwa M4C

Yanga ikishinda ni shida sana. Kwa Mara ya kwanza hii thread inaletwa huku kwa kuwa tu yanga imeshinda. Mleta mada atakuwa amepatwa Na kiwewe cha ushindi.
 
Kama Akili zenyewe ndo za aina hii Watanzania tuna safari ndefu sana na huenda ikawa si kizazi hiki
 
Hivi kwa uelewa wako kati ya Yanga na Simba ni timu ipi iliyoifunga timu mwenzake mara nyingi?

Yanga ikishinda ni shida sana. Kwa Mara ya kwanza hii thread inaletwa huku kwa kuwa tu yanga imeshinda. Mleta mada atakuwa amepatwa Na kiwewe cha ushindi.
 
Back
Top Bottom