Athuman hamis Juma
New Member
- Mar 23, 2018
- 4
- 1
MWAMBIE MTEULE WA RAIS - OFISI YA MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM, Paul Makonda
Mwambie kuwa
Baada ya kumaliza stand ya Mbezi terminal na kuhamisha hii ya Ubungo
Pale Ubungo asijenge soko kubwa ili wafanyabishara wa ndani na nje ya nchi wawe wanakuja kuchukua bidhaa kutoka nje ya nchi moja kwa moja bali
Ajenge soko kubwa ambalo, wafanyabiashara wakubwa wa nje na ndani, (cartel cooperation) wawe wanachukulia pale bidhaa zote za ndani ya nchi (bidhaa za kilimo na mifugo na uvuvi)
Hii itasaidia kuinua uchumi wa watu wa nchi hii maana bidhaa zetu tutaleta pale
Pia, itawafanya cartel kuacha kununua moja kwa moja toka kwa wakulima, wafugaji na wavuvi bali litatokea tabaka la middle men ambalo litajiajiri kununua kwa wakulima na kuuza kwa cartels
Mwambie azingatie hilo hata masoko ya mabibo, Ilala nk
Mwambie, Kariakoo na bandari zinatosha kuingiza bidhaa za nje
Mwambie wakulima wanalia hasara kwa sababu matajiri wanapanga bei zao kisha wanaingia huko kwa wazalishaji
Mwambie, njia ya kuwaajiri vijana wa mitaji ya chini ya m10 ni hiyo
Mwambie, Ulaya viwanda (cartels huzalisha bidhaa kisha huuza kwa middle men wanaoleta huku Afrika/Tunaonunua kwao tukifuata huko Ulaya
Tena hadi middle men wa Ulaya wanaungana kuwa Cartels
Mwambie, ili middle men wanufaike, yatupasa kujenga masoko kwa ajili ya bidhaa zetu kuuzwa kwa watu wa nje (exporters) na sio sie kununua kwa importers
Mwambie, mfumo wa sasa ni mgumu kwa beginners kushindana na cartels on field
Mwambie aweke mazingira equitable and not equal
Mwambie wenye ndoto kubwa kibiashara tunakuwa stuck kwa mazingira equal kati ya cartel na middle men ktk kutafuta bidhaa au huduma ktk vyanzo vyake na kwa kuwa , cartels ndio soko la bidhaa zetu kwa kuexport basi tunapokuwa nao equal tunakosa soko
Mwambie Ubungo iwe makutano ya middle men na cartels
Mkumbushe, kama Cartels wakitaka kuchukua bidhaa mashambani,/ majini basi awaambie waje wawekeze nao ktk uzalishaji
Bila hivyo, wawe wanunuzi kama ambavyo na sie tunanunua kwa middle men huko nje
Mwambie vijana, hasa tunaokuwa ktk umri wa miaka 20 - 35 tunahitaji kufanya mambo makubwa lakini tunakwama kwa mfumo usio wezeshi wa uchumi
Mwambie, ili uchumi unufaishe nchi
Wafanyabiashara wa ndani na nje waweze kufanya kazi vizuri wote
Wafanyabiashara wa ndani ni wafanyabiashara wote wa nje na ndani ya nchi ambao wanachukua na kuuza bidhaa zinazozalishwa nchini, iwe wanauza kwa ajili ya export au ndani (bidhaa za ndani kuuzwa nje, biashara hapa ni bidhaa)
Wafanyabiashara wa nje ni wale wote wanaochukua bidhaa nje na kuziuza ndani ya nchi(bidhaa za nje kuuzwa ndani, biashara hapa ni bidhaa sio mtu)
@according to me
Mwambie, lazima tuwezeshe wafanyabiashara wa ndani kuuza bidhaa sawa sawa au zaidi ya wafanyabiashara wa nje
Lazima bidhaa zetu zitoke nje maana ndio lengo la kuzalisha
Huu ni wakati wa kupigania bidhaa zetu kupata soko nje kama ambavyo mataifa mengi duniani yamepigania bidhaa zao kupata soko nchini mwetu
VIONGOZI WOTE, NIWAOMBE TUANZE KUWAZA JINSI YA KUKUZA UZALISHAJI WA BIDHAA NA HUDUMA ZETU KUTOKA RASILIMALI ZETU NA KISHA TUTUMIE MBINU ZOTE KUZIJENGEA SOKO NJE NA NDANI ILI TANZANIA YETU IKUE KIUCHUMI NA WATU WAWE WANUFAIKA WAKUBWA
FOR COMMON GOOD
NA
ATHUMAN HAMIS JUMA
TANGANYIKA