inaonekana nawewe ni mwanafunzi pale udom au ndio wewe alex mushi
pia na wewe inaonekana ni queenxviinaonekana nawewe ni mwanafunzi pale udom au ndio wewe alex mushi
Nakubaliana na wewe asilimia 100! CDM itaendelea kuiharibu UDOM kwa migomo na fujo kila mara,lema amekua anaenda Udom siku za migomo usiku na kuhamasisha migomo!Kubali ukatae cdm imechangia kuiyumbisha udom. Huo ndio ukweli na utabaki hivyo.
Ebu fafanua hii kauli yako. Sio unatoa kauli ziko hewani hewani kama akili ya bos wako jk(mgonjwa kutoka kuanguka anguka mpaka kusahau sahau hovyo)....Kubali ukatae cdm imechangia kuiyumbisha udom. Huo ndio ukweli na utabaki hivyo.
Nakubaliana na wewe asilimia 100! CDM itaendelea kuiharibu UDOM kwa migomo na fujo kila mara,lema amekua anaenda Udom siku za migomo usiku na kuhamasisha migomo!
hakika kinachoendelea udom ni hatari kwa taifa,asilimia 90 ya wanafunz waliosimamishwa ni wanaharakati cha kushangaza wengine hawakuwa kabisa siku hiyo lakin kwa kuwa ni mwanachadema bas kasimamishwa,watawala wanatengeneza bom ambalo litakuja kuangamiza umoja na aman ya nchi ye2.damu na machoz ya vijana hawa yatawahukumu.wanaudom musikate tamaa mungu yuko nanyi wala hawawez kupoteza ndoto zenu watawachelewesha tu.
ishu ni kwamba kuna watz wanakubali kunyonywa na kuonewa ili mradi yeye anaishi sio mbaya kuna wengi hawapendi kunyanyaswa hata kidogo na hili ndo liposana hapa jf kwa hiyo kuhusiana na hawa wahanga wa mgomo udom wasipoteze muda kudai haki kwa mtoa haki wa dunia hii cha msingi ni kujipanga kwenda vyuo vingine kuna vyuo kama 20+..
na kikubwa zaidi freedom is near future..
Tanzania ya leo hata ukilalamika kuhusu "UKOSEFU WA UMEME" unaitwa kuwa mfuasi wa CHADEMA! fu*k!
Unaumwa ugonjwa ambao tuba yake si kuvaa tshirt, kofia ama chochote kilicho na rangi ya njano ama kijani. Wanachuo hawa walikuwa wanafuatilia haki na ahadi za viongozi wa serikali hii walizotoa kwao na kwa hali ya kawaida wanachuo lazima waende field. Kudai field na faculty requirement ni CHADEMA? Acha uzezeta wewe kama wala na kuvaa kwa kupitia jengo la udom usamehewe. Hawa vijana wanasoma ktk chuo ambacho viongozi wanasema kimejengwa kwa kutumia fedha za umma. Umma ni ccm au ni watanzania CHADEMA being excluded?Kubali ukatae cdm imechangia kuiyumbisha udom. Huo ndio ukweli na utabaki hivyo.