Siasa iko CCM, wengine wasindikizaji

wewe ndio maana ulizalishwa bila ndoa hivi unaelimu gani? diamond, wema??? hahaaa nmecheka sana.
 
aangalie wasanii wanaogombea kupitia ccm then aangalie wasanii wanaogombea kupitia chadema
mfano kna.mwehu anajiita steven .nyerere eti nae anataka ubunge????
 
Umesahau kwamba kichaa mtembea uchi nae watu wanamuangalia,na kwamba hawamuangalii kwa kuwa wanamhusudu, lakini wanamuangalia kwa kuwa yuko uchi.Ndivyo ilivyo CCM kwa wananch wa Tanzania.Macho na masikio yao hayako Dodoma kwa kuwa wanawahusudu,lahasha,macho yao na masikio yao yameelekea Dodoma kwa kuwa mko uchi
Juliana Shonza
 
Last edited by a moderator:
Tetty sina hakika kama huyo bi dada amekuelewa naona ni mvivu wa kufikiri kwa sababu uhuru wake umeliwa na chama alichohamia! Hawezi tena kutoa mawazo ya kujenga hapo anawaza tu kupata hela za kuhujumu chama! Sasa bahati mbaya CCM inakufa hivyo na yeye anakufa kisiasa!
 
wewe demu umetumika huko leo hii unajitokeza kukishabikia hicho chama ili uonewe huruma upewe ukuu wa wilaya nn
 
bora mimi na uncle Edo tunatambua nguvu na ustawi wa upinzani katika taifa letu. kikubwa tusibweteke, kuna wakati ukweli hubaki kama ulivyo ukiufinyanga ni kujifinyanga.
 
Dah kazi ipoo. Bi dada lazima utakuwa Team Mwigulu. Ficha,weka mbali na watoto kitumbua.
 
Wanasiasa ni waongo kama wewe ulivyo muongo.
 
Masikio yote ya watanzania yako dodoma,kuna kichama fulani cha ukanda wa kaskazini leo kimefanya kamati kuu hakuna attention yoyote kimetoa press hata haisomwi
 
"Kwa namna yoyote ile, CCM itarudi Ikulu hata kama ni kwa bao la mkono... bao ni bao tu ili mradi refa hajaona"
 
Mkuu, si CCM tu: to be honest, wanasiasa wengi tanzania wakiwemo wa ccm na wa upinzani
+ washabiki wao (wanazi) wamefanya watu wengi wenye busara wasitake kabisa kujihusisha na siasa wala kuikaribia.

Ni kweli kabisa ila sasa hilo ndio kosa linaloigharimu nchi sababu wengi wa waliobaki busara yao ni mashaka, uwezo mashaka lakini wana ujasiri wa hatari kabisa. . . . .
 

Du kama imefikia hatua Diamond, Wema na Uwoya ndio kioo cha jamii basi Tanzania kutakuwa hakuna jamii ya wastaarabu
 

Hata Wizi na Mafisadi wote Wapo CCM Vyama Vingine Usingizziwa tu
 
Kumbe uko vizuri hivyo ....natamani kuckia zaidi....uchambuzi wa kisiasa kutoka vijana@ team ingine mko wapi chambueni tuone strength ya upande mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…