Mangisandy
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 2,644
- 2,273
Nasikitishwa sana na taifa langu, kwa sababu ya utamaduni wetu wa kujisafisha kwa kuonesha uchafu wa tunao shindana nao! Badala ya kukubali kosa na kujirekebisha, unamwonyesha kosa lake pia!
Uozo wa chama fulani au mwanasiasa fulani hautakatishi uchafu wa mpinzani wake, kwanini tunakimbilia kulinganisha maovu yetu?? Kwanini tunawekeana 'hakiba' ya rekodi mbaya na kusubiri kulipuana??
Mikakati hii michafu inatuchelewesha kufikia taifa bora tunalotaka.
Naiombea Tanzania, Mungu ibariki Tanzani, utufungue macho kuona hizi layers za uchafu, na kupambana nao.
Tanzania safi inawezekana, change ni wewe, amka Mtanzania.