Siasa bana

Janja ya CCM hiyo!,hivi hao waliokuwa wanabandika hawajui kuwa kuna wazee, walemavu hiyo ni makusudi kabisa hapo inabidi wangedeal na mtendaji wa kijiji au mtaa, maana hao ndo walikuwa na wajibu wa kubandika hayo majina.
 
Mkuu ukiona hivyo wazee wa CCM wote majina yao yapo chini.
 
Hahaha siku nyengine waweke kawaida ila watumie muandiko mdogo sana, kama size 5 ivi
 
Hapo ndo utashangaa kituon kwangu majina yalikua utadhani yame andikwa kwa penseli mpaka uwena macho makali kujua jinalako
 
Kama picha inavyoonesha, wengi wanaotafuta majina yao ni vijana. Green label inawaogopa na kuwachukia sana vijana kwenye upigaji kura wowote wa siasa. Green label hawataki vijana wapige kura!
 
Sasa nyie mnafikiri "zawadi" ya Mh Rais inapatikana kirahisi hivyo!?
 
mwezi wa 10 watawawekea ngazi ili wasipate shida kufika mpaka juu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…