Siamini!!

Siamini!!

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Hivi ni kweli wanawake wamefikia hatua hii? Mi nadhani kuna kitu hakipo sawa mahali. Nimepata ujumbe huu nami nimecopy na......;

"Wanawake wa siku hizi wana tabia sawasawa na wanaume kasoro tu hawawezi kubadili jinsia ili wote tukojoe tumesimama...Ukicheat na yeye anatafuta wa kwake anakomoa...Usipompa hela anatafuta danga linampa hela utashangaa tu wewe unafanya kazi una Nokia Asha,yeye anasoma Diploma ya Record Management pale Magogoni na babake ni Mchuuzi wa Samaki Feri lakini ana Samsung Galaxy Note3 mpya na kumuuliza huwezi...Ukidhani unamtumia kama Kipoozeo chake kumbe mwenzio na yeye anakutumia wewe kama Feni yake Joto likiwa kali..Ngoma Droo...We unalewa Bia ye anajidunga Shots za Tequila...Na mademu wa namna hii huwezi kusikia eti Baby nna mimba yako,hawapatagi mimba hawa hata ule rosti miaka 8,ukimwaga ugali wanamwaga mboga...wanaopata mimba hawa ujue wamekuja mjini na mbio za Mwenge...Kuwa makini sana,Mapenzi ya siku hizi ni Timing za kumchinja Kobe,ukidhani umewahi kumbe umewahiwa,True Love ni ngumu sana kupata kama kusikia kolabo ya Suma Mnazaleti na Justin Bieber inapigwa chati za Billboard...

Kwa Hisani ya Mwanaume-"
 
ok kwa hisani ya wanaume tunashukuru kwa ujumbe hawa wanawake ni watu wa kawaida tu tatizo sisi wanaume tunapenda sn sifa zaidi kitu kingine.
 
True Love ni ngumu sana kupata kama kusikia kolabo ya Suma Mnazaleti na Justin Bieber inapigwa chati za Billboard

😛ound::lol: 😛ound::lol:
 
ok kwa hisani ya wanaume tunashukuru kwa ujumbe hawa wanawake ni watu wa kawaida tu tatizo sisi wanaume tunapenda sn sifa zaidi kitu kingine.

Mkuu hebu fafanua hapa kidogo. Japo mi sio Washawasha nalog off
 
Last edited by a moderator:
True Love ni ngumu sana kupata kama kusikia kolabo ya Suma Mnazaleti na Justin Bieber inapigwa chati za Billboard

😛ound::lol: 😛ound::lol:

Halafu itokee ikapigwa sijui itakuwaje.!
 
Maisha ya sasa si ya kujipa stress, ukipata fursa tumia maana hakuna alie mwema si mwanaume wala mwanamke
 
Halafu itokee ikapigwa sijui itakuwaje.!

My sis used to say "hilo haliwezekani, ni sawa na kufikiria amber rose na kitambi". Recently the lady posted a pic with her biiiig belly. Nilii-snapshot na kumtumia alichekaje!
 
My sis used to say "hilo haliwezekani, ni sawa na kufikiria amber rose na kitambi". Recently the lady posted a pic with her biiiig belly. Nilii-snapshot na kumtumia alichekaje!

Sipati picha.. Dunia inazunguka bana.
 
dah! ujanja kuwahi kaka,ukichelewa tu imekula kwako.
Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom