Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa mapenzi.
Dada huyu Ni Mzuri sana na mwenye haiba ya aibu!. Siku na Miezi ilikatika nikawaza kuwa sasa muda wa kuoa umefika, maana Dada alikuwa anaonyesha kila Aina ya matumaini kuwa anafaa kuwa mke (Kwa macho ya Kibinadamu).

Ila kabla sijaamua kufanya maamuzi makubwa ya kwenda kumtambulisha kwa wazazi na Kufunga nae ndoa nikaona Hebu Nimtazame kwa jicho la tatu.

Ooh Hapo ndipo nilikoma nikaona hii dunia kweli jalala.
Nilifanya maarifa ya kujaribu kumfuatilia juu juu ila sikugundua kitu, ndipo nikawaza kuwa natakiwa nitumie maarifa ili niweze kuitambua vizuri Ngozi yake halisi.
Mapema mwezi huu nilianza kugundua mambo yalojificha kumuhusu!.
Kumbe kwenye simu anayoitumia ana lini mbili ila muda wote akiwa nami huwa anaitumia line moja nyingine anaiinactive!
Nikagundua Kumbe mle kwenye simu yake huwa ana app mbili za whatsapp! yaani whatsapp ya kawaida na GB whatsapp!.
Nikagundua kumbe mle kwenye simu yake ana app kadhaa za online dating kama Badoo, Hitwe na Tinder na humo ndimo anamojiuzia, Pia Nikapepeleza nikagundua kwenye simu yake huwa anaficha app hizo na Gb whatsapp hivyo anaweza akakuachia simu siku nzima usigundue lolote!
Ndipo Nikajiuliza kwanini anaweke apps kama hizi tena kwa kuzificha?
Nikawaza kwanini awe na whatsapp nyingine ambayo haraki niijue!?
Nikajiuliza kwanini kwenye simu yake kwanini ana line mbili ili hali mimi naijua moja tu na nyingine ipo inactive!
Ndo nikaona hapa sio Bure kuna mchezo unaendelea, Kazi niliyofanya ni Kuchukua no ile line ambayo muda wote huwa anaifunga.
Nilitafuta line mpya na nikaisajili kwenye whatsapp na Kumtext kwa ile namba!, E bwanee! Sikuamini!, Mchumba wangu alinijibu baada ya Muda na kuniambia nataka nini na namba yake nimepata wapi?,.
Nikamwambia 'ulinipa no yako wiki mbili zilizopita Hitwe,' akaniuliza nataka nini?, Mimi nikamuomba game!.
Huwezi amini hakuniuliza chochote kingine zaidi ya kuniuliza nina Sh ngapi!, Nikapasuka Moyo Ghafla na kumwambia "Sema tu wewe", Akasema anataka 40000!!
Mmh sikuamini nikaona kama kiini macho vile! Nikamwambia Vipi Unaweza kuja tukalala Hotel? akasema "pesa yako tu"!!! Nikamuuliza sh ngapi akasema 60000!! Nikapata uwoga inawezekanaje afanye mambo kama hayo! maana Tangu nafahamiana nae huwa anaweza akaja kwangu akakaa siku tatu, mara utasikia Narudi kwa mjomba Ilala!
Anaweza kwenda na kukaa huko wiki hadi wiki na nusu ndo naonana nae tena! Nikawa nimegundua kumbe hata mjomba wake muda mwingine huwa anawaza Mchumba yupo kwangu Kumbe hayupo kwangu wala kwake anafanya umalaya huko!.
Nikafikiria nikaona ni kama uongo vile nikasema ngoja niingie huko kwenye hiyo mitandao nimtafute, Baada ya siku mbili nikaibamba picha yake Hitwe na Kumtumia Ujumbe.
Ilipofika mida ya jioni kama saa mbili hivi ndipo akanijibu,
Ebwanee sikuamini Kumbe Mchumba wangu anaweza kufanywa hadi Mtungo!
Nilimtext "Mimi na wenzangu watatu Tunakataka tulale na wewe", akasema 'hela yenu tu' Nikashangaa!!
Nikamuuliza "Unaweza"?
Akasema wanne sijawahi kujaribu ila watatu nishawahi, naweza!
Mpaka kufikia hapo nikawa nimeishiwa pozi!.
Sijamuonyesha lolote hadi sasa kuwa kuna kitu nimekistukia kutoka kwake, Ila bado najiuliza Huyu ni mtu au Shetani!?
Anawezaje kuwa anafanya uchafu mkubwa kiasi hiki!?
Simu Aliyonayo mimi ndo nimemnunulia, Matumizi yote ya msingi huwa nampa, sasa nashindwa hata kuelewa anafanya hayo mambo anataka nini! na hela anapeleka wapi!!? na mpango wake kwangu ni nini!
Kifupi nipo kwenye wakati mgumu sana hapa.
Najaribu kufikiria wanawake wana akili za aina gani! hili jambo naona Ni la ajabu mno kwangu! Natafakari Nifanye nini, maana si pepo la ngono tu alilonalo, ila nahisi Huyu ndiye shetani mwenyewe real kabisa. Cha kushangaza, Mwezi wa kumi na Moja Nilienda nae kupima, Na wote tukaonekana tuko sawa ila nashindwa kabisa kuelewa kwanini arisk maisha kiasi hiki!. Naombeni maarifa wenzangu nifanye nini.
Sasa hii ndiyo ile aliyosema dada FaizaFoxy kuwa Panapofuka moshi panaficha moto...
 
79647740-377c-4c31-9551-ef4d03eab5aa.jpg
 
Sasa unataka nani akuaminishe? Umekusanya ushahidi wewe mwenyewe katika hii story yako.ukathibitisha na bado unasema huamini kama ni malaya.sasa si uendelee naye tu? Ili utuletee story ya part two.
 
mkuu unauliza tukupe maarifa ya nini, pole kwa kukuambia hili lakini naona uelewa wako ni mdogo sana, pili huna ile kitu tunaita kwa english ASTRACT REASONING, sijui nikuele aje na swahili, sasa umegundua uko na malaya au kahaba, na umegundua anafanya hata ile tunaita kwa english three score, na bado uko nae, sir your reasoning capacity is too shallow, leave her pls, she is a mere prostitute, escot girl name it she qualifies for it, blessings as you walk away from her sir, and try to be smart pls
 
Kwa uchafu wote bado unakuja JF kumalizia GB za members? Yaani hiyo ni kachfa ya mahusiano na ulitakiwa uwe umeshampiga chini.
 
Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa mapenzi.
Dada huyu Ni Mzuri sana na mwenye haiba ya aibu!. Siku na Miezi ilikatika nikawaza kuwa sasa muda wa kuoa umefika, maana Dada alikuwa anaonyesha kila Aina ya matumaini kuwa anafaa kuwa mke (Kwa macho ya Kibinadamu).

Ila kabla sijaamua kufanya maamuzi makubwa ya kwenda kumtambulisha kwa wazazi na Kufunga nae ndoa nikaona Hebu Nimtazame kwa jicho la tatu.

Ooh Hapo ndipo nilikoma nikaona hii dunia kweli jalala.
Nilifanya maarifa ya kujaribu kumfuatilia juu juu ila sikugundua kitu, ndipo nikawaza kuwa natakiwa nitumie maarifa ili niweze kuitambua vizuri Ngozi yake halisi.
Mapema mwezi huu nilianza kugundua mambo yalojificha kumuhusu!.
Kumbe kwenye simu anayoitumia ana lini mbili ila muda wote akiwa nami huwa anaitumia line moja nyingine anaiinactive!
Nikagundua Kumbe mle kwenye simu yake huwa ana app mbili za whatsapp! yaani whatsapp ya kawaida na GB whatsapp!.
Nikagundua kumbe mle kwenye simu yake ana app kadhaa za online dating kama Badoo, Hitwe na Tinder na humo ndimo anamojiuzia, Pia Nikapepeleza nikagundua kwenye simu yake huwa anaficha app hizo na Gb whatsapp hivyo anaweza akakuachia simu siku nzima usigundue lolote!
Ndipo Nikajiuliza kwanini anaweke apps kama hizi tena kwa kuzificha?
Nikawaza kwanini awe na whatsapp nyingine ambayo haraki niijue!?
Nikajiuliza kwanini kwenye simu yake kwanini ana line mbili ili hali mimi naijua moja tu na nyingine ipo inactive!
Ndo nikaona hapa sio Bure kuna mchezo unaendelea, Kazi niliyofanya ni Kuchukua no ile line ambayo muda wote huwa anaifunga.
Nilitafuta line mpya na nikaisajili kwenye whatsapp na Kumtext kwa ile namba!, E bwanee! Sikuamini!, Mchumba wangu alinijibu baada ya Muda na kuniambia nataka nini na namba yake nimepata wapi?,.
Nikamwambia 'ulinipa no yako wiki mbili zilizopita Hitwe,' akaniuliza nataka nini?, Mimi nikamuomba game!.
Huwezi amini hakuniuliza chochote kingine zaidi ya kuniuliza nina Sh ngapi!, Nikapasuka Moyo Ghafla na kumwambia "Sema tu wewe", Akasema anataka 40000!!
Mmh sikuamini nikaona kama kiini macho vile! Nikamwambia Vipi Unaweza kuja tukalala Hotel? akasema "pesa yako tu"!!! Nikamuuliza sh ngapi akasema 60000!! Nikapata uwoga inawezekanaje afanye mambo kama hayo! maana Tangu nafahamiana nae huwa anaweza akaja kwangu akakaa siku tatu, mara utasikia Narudi kwa mjomba Ilala!
Anaweza kwenda na kukaa huko wiki hadi wiki na nusu ndo naonana nae tena! Nikawa nimegundua kumbe hata mjomba wake muda mwingine huwa anawaza Mchumba yupo kwangu Kumbe hayupo kwangu wala kwake anafanya umalaya huko!.
Nikafikiria nikaona ni kama uongo vile nikasema ngoja niingie huko kwenye hiyo mitandao nimtafute, Baada ya siku mbili nikaibamba picha yake Hitwe na Kumtumia Ujumbe.
Ilipofika mida ya jioni kama saa mbili hivi ndipo akanijibu,
Ebwanee sikuamini Kumbe Mchumba wangu anaweza kufanywa hadi Mtungo!
Nilimtext "Mimi na wenzangu watatu Tunakataka tulale na wewe", akasema 'hela yenu tu' Nikashangaa!!
Nikamuuliza "Unaweza"?
Akasema wanne sijawahi kujaribu ila watatu nishawahi, naweza!
Mpaka kufikia hapo nikawa nimeishiwa pozi!.
Sijamuonyesha lolote hadi sasa kuwa kuna kitu nimekistukia kutoka kwake, Ila bado najiuliza Huyu ni mtu au Shetani!?
Anawezaje kuwa anafanya uchafu mkubwa kiasi hiki!?
Simu Aliyonayo mimi ndo nimemnunulia, Matumizi yote ya msingi huwa nampa, sasa nashindwa hata kuelewa anafanya hayo mambo anataka nini! na hela anapeleka wapi!!? na mpango wake kwangu ni nini!
Kifupi nipo kwenye wakati mgumu sana hapa.
Najaribu kufikiria wanawake wana akili za aina gani! hili jambo naona Ni la ajabu mno kwangu! Natafakari Nifanye nini, maana si pepo la ngono tu alilonalo, ila nahisi Huyu ndiye shetani mwenyewe real kabisa. Cha kushangaza, Mwezi wa kumi na Moja Nilienda nae kupima, Na wote tukaonekana tuko sawa ila nashindwa kabisa kuelewa kwanini arisk maisha kiasi hiki!. Naombeni maarifa wenzangu nifanye nini.
MKUU naomba namba yake niko na best yangu hapa. :p:p:p:p mkuu sikia kwa ushauri usi mwaribie wala ku mchana live wewe muache kimya kimya tu bila kumwambia chochote. na wewe jifunze kuangalia wa kutongoza kati ya malaya na demu na mke,
 
MKUU naomba namba yake niko na best yangu hapa. :p:p:p:p mkuu sikia kwa ushauri usi mwaribie wala ku mchana live wewe muache kimya kimya tu bila kumwambia chochote. na wewe jifunze kuangalia na utongoza kati ya malaya na demu na mke,
Hili la kutongoza malaya nalo ni la kipekee.Malaya hatongozwi.Ni kutafuna ma kusepa hahaha
 
Kwa maaelezo yako Mkuu naona umefika mwisho wa reli..yaani umeanguka kwenye penzi la huyo dada hapa umekuja kutushirikisha tu huzuni na majonzi yako.
Hata uambiwe nini hutorudi nyuma, endelea kufuata nini moyo wako unataka. Kadi ya za michango zikiwa tayari usinisahau.
 
Mkuu ushamuacha kwani?

Nataka nimchukue yakhee!

Ukisusa wenzako twala!

😁😁😁😁😁

Raha ya fisi, ale mifupa! Atapiga.na kelele za furaha kabisa!
 
Back
Top Bottom