Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,090
Unadhani hata nikikataa Rais asiombe unadhani ataacha?Toka awe Rais fikra ya maendeleo ya nchi hii iliyo katika kichwa chake ni kuomba na huwezi kumgeuza hata kidogo,kwa kuwa hawezi kubadilika basi heri kumshauri namna ya kuomba maana anavyoomba havina maana,ukiona mtu anakwambia hajui kwanini yeye ni masikini wakati ana rasirimali nyingi kwake ujue hilo ni tatizo kubwa.mkuu naona na wewe unaendeleza haya haya tunayosema hayafai - kwa nini UOMBE!! hakuna njia nyingine ya kupata unachokitaka hadi UOMBE!!