Si tuliambiwa GSM ataishia kwenye mabango? Imekuwaje tena nembo yake iwe kwenye jezi za Simba?

Mnapoambiwa muweke CEO mwenye akili mnaweka mahawara matokeo ndio haya..

Hii nembo mtavaa kila mechi msipovaa faini

Na mnapoambiwa muweke Viongozi wenye kujitambua kuifikisha Team yenu levels za Simba,nyinyi mnaweka nyumba ndogo ya Ghalib ndiyo anawashika masikio,matokeo yake hata wachezaji wenu kina Kabwili wanafuata kile anachokifanya Role model wao,matokeo yake mnaishia kuwatimua.Logo hatuvai na hamna cha kutufanya.
 
GSM Ni lidude likubwa aisee..

Ukilikataa NBC utakutana nalo Mapinduzi Cup.
 
Natamani simba ishushwe daraja kama TFF wanaweza kufanya hvyo!

Uwezo huo kwa TFF wala haupo,wanajua ni Simba peke yake ndiyo inaibeba ligi ya Tanzania Kimataifa.Hapa GSM atasanda na ataishia kuwekwa kwenye mabango,au kuchukua hizo cents zake kutoka kwa TFF
 
GSM Ni lidude likubwa aisee..

Ukilikataa NBC utakutana nalo Mapinduzi Cup.

Simba haina muda wa kucheza kombe la Mbuzi,wakati huo wachezaji wetu watakuwa wakijiandaa Kima Taifa zaidi.Bakini wenyewe mcheze wenye uwezo sawa.
 
Simba haina muda wa kucheza kombe la Mbuzi,wakati huo wachezaji wetu watakuwa wakijiandaa Kima Taifa zaidi.Bakini wenyewe mcheze wenye uwezo sawa.
Kwahyo simba na yanga uwezo wao sio sawa?

Kwani uwezo unapimwaje?
 
Mbona hasira kolo wa kike?
Kawaambie TFF pale sisi kazi yetu imeisha kilichobaki ni kichapo tu kesho kutwa

Na ole wako ukimbie hapa hiyo siku,mnakwenda kupigwa hadi mpoteane,mkitoka hapo mnasalbaratika moja kwa moja.
 
Hivi unadhani CEO Babra ni sawa na Manara?

Sasa GSM ameshafurushwa na mabango yake kama paka mwizi huko Taifa.

Huu Uzi Wako kafungie Vitumbua.
 
Hivi unadhani CEO Babra ni sawa na Manara?

Sasa GSM ameshafurushwa na mabango yake kama paka mwizi huko Taifa.

Huu Uzi Wako kafungie Vitumbua.
Unayo akili kweli?

Kwani Manara ni CEO?

Unafananisha watu wenye vyeo tofauti.
 
Back
Top Bottom