Si Marekani wala Urusi wala China

Propaganda za wa magharibi ivi ninani mwenye akili timamu anaye weza kusema vimajimbo vya America vinaizid Russia kwa uchumi rudii school!!!!
 
Mkuu unajidanganya, kuwa na tech siyo kuwa hela inapungua kwenye kutengeneza ndege zako kuna kufanya research, ni lazma uwe na uchumi unao eleweka israel nchi ndogo sana
Unachokisema ni kweli,hata maisha ya kawaida tu unaweza ukawa na wazo zuri la biashara lakini hauna mtaji(pesa). Ni ngumu kufanya biashara. Kwahiyo ninaona Marekani na Israel wote wanategemeana.
 
HIZI STORI BILA SHAKA WAMEAMBIWA NA MCHUNGAJI WAO
 
Baruti huo ushamba Kama unashindwa kujenga Hoja tulia usiropoke...sasa mchungaji kaingiane hapa?
 
Walicho nacho Israeli ni rasilimali watu zinazojielewa yaani hizi rasilimali zao zina IQ kubwa kwenye masuala ya tecknolojia lakni mwisho wa siku hazitumiki Israeli zinatumiwa na wamarekani

Siku Israeli akisitisha uhusiano wake na marekani ndipo utashuhudia vita ya 3 ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…