ustadhijuma
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 3,133
- 2,117
chadema hatutashirikiana nanyi kwa namna yeyote ile!! waislamu huchagua mgombea yeyote yule cha msingi tu asiwe mdini mdiniUnadhalilisha waislamu... Ustadh hovyo.
chadema hatutashirikiana nanyi kwa namna yeyote ile!! waislamu huchagua mgombea yeyote yule cha msingi tu asiwe mdini mdiniUnadhalilisha waislamu... Ustadh hovyo.
huyu mzee amezidi udini!! Fungueni hii link mjionee jinsi anavyohamasisha udiniUnadhalilisha waislamu... Ustadh hovyo.
Ccm imewafanya kuwa dodoki lake ndio unaona iko na manufaa nanyi?!BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
nawe umefanywa kuwa sink la choo la chadema!! kila baya utaendelea kutetea na husafishiki hata kwa dodoki may be kwa coca colaCcm imewafanya kuwa dodoki lake ndio unaona iko na manufaa nanyi?!
Mh! Mzee umejaaliwa kwa kuuchongoa.Kwa maandishi na uandishi wako tu tayari unaonekana u mjinga. Tunajua ndio kuwa ACT, DOVUTWA Company na PAROLE pia ni Anti-CDM, sasa sijui kama tunatakiwa kuelezwa na wewe.
Kama huoni kuwa ni tatizo kuwa CCM basi you are beyond repair. Maana wenzako walioko huko wanajua kuna tatizo, lakini wapo huko kwa maslahi fulani, kwa hiyo wanafanya dhambi kwa makusudi. Wewe mdogo wangu usiyejua kituo wala herufi kubwa, upo upo tu, unadhani ni dini hiyo kwamba ufanye kwa imani...(tusi)
Mbona wewe huuoni upumbavu wako kwa kuita CDM ni chama cha Marangu ilhali mimi ninayekujibu kwetu Mara?
Kwa mwaka huu nadhani huu ndio uzi mbovu kupita zote zilizoletwa kwenye jukwaa hili , hivi unajua kusoma kweli ? Maana nimejiridhisha kwamba kuandika hujui .kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema
Sawa ngosha , ukabila ni hatari sana !Mie nilipokosoa ujanjaujanja wa viongozi wangu wa CDM mpaka sasa vijana wote wa kichaga hapa mtaani wananiita msaliti na wameninunia kichizi.
Huu ugonjwa wa kuukataa ukweli, unatusumbua sana waTz.Mleta mada ww binafs unashida ya kudharau wengine harafu unataka uheshimiwe, posible? Et chama cha marangu.
Anza kujiheshim utaheshimiwa