mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,546
kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema
CDM wanaendekeza dhana ya ukabila kwa kukiita chama cha ACT wazalendo ni cha waha......ila wao wakiitwa wachaga wanakuwa pilipili.