Si kila mpinga CHADEMA ni CCM

Si kila mpinga CHADEMA ni CCM

endrizzy

Senior Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
186
Reaction score
137
kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema
 
na sio kila anaepinga ccm na serikali yake ni chadema.maana wengine ni watanzania wazalendo wa nchi yao na sio tuvikundi twenu huto mlito tubatiza jina la vyama vya siasa.
 
Huwa ni upuuzi ilimradi wakufanye usiongee kile unachotaka kuongea ...huo nao ni udikteta wa mawazo
 
kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema
Kwa maandishi na uandishi wako tu tayari unaonekana u mjinga. Tunajua ndio kuwa ACT, DOVUTWA Company na PAROLE pia ni Anti-CDM, sasa sijui kama tunatakiwa kuelezwa na wewe.

Kama huoni kuwa ni tatizo kuwa CCM basi you are beyond repair. Maana wenzako walioko huko wanajua kuna tatizo, lakini wapo huko kwa maslahi fulani, kwa hiyo wanafanya dhambi kwa makusudi. Wewe mdogo wangu usiyejua kituo wala herufi kubwa, upo upo tu, unadhani ni dini hiyo kwamba ufanye kwa imani...(tusi)

Mbona wewe huuoni upumbavu wako kwa kuita CDM ni chama cha Marangu ilhali mimi ninayekujibu kwetu Mara?
 
kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema

Hili nalo neno, ameen.
 
Mleta mada ww binafs unashida ya kudharau wengine harafu unataka uheshimiwe, posible? Et chama cha marangu.

Anza kujiheshim utaheshimiwa
 
kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema

Kwa uandishi huu ukikosolewa unaanza kulalama kuwa eti ccm haipendwi kumbe ni elimu mliorithi pale Lumumba fc. CCM ni chama cha kuogopwa sana.
 
BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
Kuna haja ya kuingiza dini kwenye Siasa brother?
 
Mkuu acha kulalamika,peleka malalamiko yako kwenye ofisi za Chama au kwenye vikao. CCM inatosha kwa sasa kupunzika maana wametuibia sana. Watu wanakuona wewe mjinga ukiwa CCM kwa sababu una akili sawa na mababu na mabibi zako hata hutofautiani kiifkra tokea chama kushika hatamu. Acha kuogopa mabadiliko mkuu.Sisi tunapita na kizazi chetu kwa nini CCM haina kizazi chake wao ni kutaka kutawala tu maisha yao yote? Je kwa kizazi hiki hakitofautiani na kizazi cha babu na bibi zetu kuikumbatia CCM? Amka mkuu let see our generation
 
kuandika tu hujui!! elimu yako inatia mashaka sana.........waislamu huwa hatufuati mkumbo
Kwaiyo mtu akisema CUF ni chama cha waislamu anakosea kitu cha kujua ni kuwa chama hakina dini ila wanachama ndio wenye dini
 
Kwa uandishi huu ukikosolewa unaanza kulalama kuwa eti ccm haipendwi kumbe ni elimu mliorithi pale Lumumba fc. CCM ni chama cha kuogopwa sana.
typing error ni kitu cha kawaida tena ukiwa unatumia smartphone.
 
Mkuu acha kulalamika,peleka malalamiko yako kwenye ofisi za Chama au kwenye vikao. CCM inatosha kwa sasa kupunzika maana wametuibia sana. Watu wanakuona wewe mjinga ukiwa CCM kwa sababu una akili sawa na mababu na mabibi zako hata hutofautiani kiifkra tokea chama kushika hatamu. Acha kuogopa mabadiliko mkuu.Sisi tunapita na kizazi chetu kwa nini CCM haina kizazi chake wao ni kutaka kutawala tu maisha yao yote? Je kwa kizazi hiki hakitofautiani na kizazi cha babu na bibi zetu kuikumbatia CCM? Amka mkuu let see our generation
kwa iyo ww uliye CHADEMA ndo unaakili sana ?
 
na sio kila anaepinga ccm na serikali yake ni chadema.maana wengine ni watanzania wazalendo wa nchi yao na sio tuvikundi twenu huto mlito tubatiza jina la vyama vya siasa.
Tatizo ni Kuwa mnakuwa Kama Bisimba, haki za binadamu ni chadema tu lakini watu wakitolewa macho kimya
 
BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
Pia kipo kkanda zaid... viongoz wengi wa juu n wa sehem moja.
 
Back
Top Bottom