Alitaka kujiua, je angekufa Mpangaji angekuwa ni Mungu?Haha kafanyaje mzee.. ni muumini nini?
sijawahi sikia mahubiri yake🙄
Ezekieli : Mlango 18Mhh mtu mwovu!! Kwanini??
Mi najua kifo ni kifo tu haijalishi muovu au mwema
Ezekieli : Mlango 33Mhh mtu mwovu!! Kwanini??
Mi najua kifo ni kifo tu haijalishi muovu au mwema
Ezekieli : Mlango 18
23 Je! Mimi ninafurahia kufa kwake mtu mwovu? Asema Bwana MUNGU; si afadhali kwamba aghairi, na kuiacha njia yake, akaishi?
Asante kwa references, tito sio nabii ni mhuni flaniEzekieli : Mlango 33
11 Waambie, Kama mimi niishivyo, asema Bwana MUNGU, sikufurahii kufa kwake mtu mwovu; bali aghairi mtu mwovu, na kuiacha njia yake mbaya, akaishi. Ghairini, ghairini, mkaache njia zenu mbaya; mbona mnataka kufa, Enyi nyumba ya Israeli?
ndioKwahiyo mambo mengine Mungu tunamsingizia?