Si kila anayetangatanga amepotea njia....................!

platozoom

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
9,366
11,152
Kwa hiyo msije mkadhani mimi kutoonekana maana yake navumilia vitimbi vya chitchat au eti nililewa siku zote hizo. Ama zangu ama zao walioonyesha kwamba eti platozoom anahusika kwenye ulevi wa kiingereza au kumtelekeza kipenzi chake ummu kulthum.
Mamndenyi nimekopi signature yako lakini haimaanishi unidai!
 
Last edited by a moderator:
af walikuwa wananisema eti nikuache sana sana Bishanga na Asprin eti we ni cha pombe akheri nitoke na erick52 asa mi nikawaambiwa kwamba haiwezekani kwani nishapenda mmoja tu hata kama ni chapombe ndo nishapenda na penzi halina macho

Na wabaya wangu woteee nimeshawajua hata dada yangu na wifi yako wa ukwee gfsonwin akawa ananipiga vijembe na vikakasi!.......kweli kikulacho ki-ungoni mwako
 
Last edited by a moderator:
Na wabaya wangu woteee nimeshawajua hata dada yangu na wifi yako wa ukwee gfsonwin akawa ananipiga vijembe na vikakasi!.......kweli kikulacho ki-ungoni mwako
platozoom hivi ulishawah kunitambulisha ama unaniangushia jumba bovu? nitendee haki yangu bana kwa wifi yangu. nitambulishe na aniletee kitenge cha wax atii.
 
Last edited by a moderator:
platozoom hivi ulishawah kunitambulisha ama unaniangushia jumba bovu? nitendee haki yangu bana kwa wifi yangu. nitambulishe na aniletee kitenge cha wax atii.

Siku hizi kuna kutambulishwa kizamani? maandishi husomi hata picha umaeshindwa kutambua? au unanitafuta lawama!
 
namaanisha baada ya mfugo umerudi na makeke yako kasoro avatar tu tena irudishe niburudike mie. wakati wa mfingo ulikuwa mpole kama maji mtungini.

mmmmmmmmmmmmh........Avatar nimeipoteza hata sijui iko wapi!!!!unaweza kujua ilipo
 
Back
Top Bottom