Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,901
- 27,628
Wiki ilikua ndefu hii, alhamdulillah imeisha, nimewamiss, njooni tuzogoe.
- Umeshawahi kushikwa na hamu ya kufanya kitu chochote mpaka ikabidi ubadili ratiba yako yote ili tu ukifanikishe?
- Wanaume; hivi tukiwapandilia juu wakati wa kula chakula cha wakubwa, tukaneng’eneka zile dakika zetu 3, huwa mnajisikia raha au ndiyo ile tu mnatuambia “njoo juu mpenzi"" ili na wewe ulale kidogo, upumzike?
- Ulijuaje kwamba mpenzi wako amefurahia tendo faraghani? alikufanyia nini au alikuambia nini baada ya kumaliza jambo lenu?
- Uliza swali lolote kwa yeyote