Si "date" na wanawake wachovu!

Huyo mtu aliyemsaidia huyo dada ana moyo wa pekee sana.
 
Wise saying.
 
Wengine wanakula ugali wa shikamoo
 
Nyeupe alaf binamu yako akijichubua unashangaa

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa bado ana maumivu ya kukataliwa tangu 2014. Hii ni chai na ni ndoto zake huenda hata baskeli hana. Ila hii approach ni nzuri. Ila siyo rahisi dem akukatae 2014 akaufate 2022 akulilie eti anakupenda si angekufata hata 2015 hivi.
It might happen, maisha yanafunza mengi, wanasema kukaa kimya ni jambo zuri sana, hata kama una mawazo yako unahisi ni mazuri sio lazima uyaseme, hata kama ni ukweli ila unajua utamuumiza mtu kausha.
 
Hata sina hela kiasi hicho, ila tu nataka walau tukaribiane, ili niamini kweli ananipenda, na si kwa sababu ana njaa!
Kama hana njaa na amekupenda atakung'ang'ania mpaka ujute kumfahamu. Kama roho inakusuta kwa jibu ulilompa muombe msamaha, pia mwambie ukweli kuwa alizingua miaka ya nyuma ila haumpendi na umesha move on.
 
Mkuu upo sahh Sana kw hilo jibu hiv viumbe wakiwapata matu wamaana wanaona sisi wengn Kam madenge na vikashfa vyakutosha Kwahy hujakosea man hakuna tuzo ya kuwa mwema kwa mtu aliekuletea kejeli,

Hta mm nilikuwa na huruma Sana ila kwasasa nmejifunza kubalanc mzani mtu akiniheshimu tunakuwa sambamba akileta dharau nampotzea tu namm
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…