Si "date" na wanawake wachovu!

Na ukiona ni mdada anaandika uzi humu huyo ni hafai hata kuliwa kimasihala
Wadada ni tofauti hata kikuumbwa hulka na utashi wa me na ke havifanani,, kwa hii comment yako ni km umekurupuka unajilinganisha na mwanamke,,, navyojua mwanamke Yuko pale ili aliwe Sasa ukidhihaki au kuumia na ke kuliwa wataka uliwe wewe!
 

Wewe Pimbi usichukulie powa Jf ina watu wakubwa

Anonymous
 
Dadangu...kwenye haya maisha nlicho jifunza kuwa usimdharau mtu. Hakika...

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Jamaa bado ana maumivu ya kukataliwa tangu 2014. Hii ni chai na ni ndoto zake huenda hata baskeli hana. Ila hii approach ni nzuri. Ila siyo rahisi dem akukatae 2014 akaufate 2022 akulilie eti anakupenda si angekufata hata 2015 hivi.

Iyo mbona ni kweli tupu mi mwenyewe kuna Kadem pind Nipo chuo cbe miaka iyo ya 2013 kalinijibu shit mbaya af nlikua naunga unga kishenzi 2020 kamenichek fb na kuanza kujirahisisha naona baada ya kuona profile imechange sana [emoji28]

Aya mambo yapo tu mbaya zaidi dem azalishwe af atelekezwe dah wanatia huruma sana
 
We nae bado una maumivu ya kukataliwa tangu 2013. Haya na wewe una magari mangapi sasa hivi?
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Duh
 
Safari ya mwanamke ni fupi sana ila ukiwaona wanavyoringa sasa wanajisahau sana.

Ya kwangu hii hii,

Yeye: kuanzia leo usinipigie simu wala usinitumie sms.

Mimi:kwa nn?

Yeye: nimeamua tu ndo ivyo.

Mimi:nikapiga simu hapokei wala sms hajibu nikakubali matokeo kumbe alikuwa anataka kuolewa ila hakuniambia.

Yeye: baada ya miaka miwili ya ndoa na mtoto mmoja juu alikuja kunitafuta na kunielezea changamoto za ndoa na vipigo vya mume wake.

Sasa hivi ananiambia mimi naringa ila akituma sms najibu na simu napokea ila sijawahi kuanza kumtafuta hata siku moja tunaona kwenye status tu.
 
Yatawatoka ila ulichoandika ni ukweli kabisa na umenikumbusha mkasa mmoja dada flani humu alipataga shida alipewa mimba jamaa akaingia mitini home wakamfukuza akaja kuomba msaada hapa....mibaharia full kumuita ita mara njoo mbeya mara njoo wapi uzuri alikua ananiambia tunashauriana.....aliemsaidia ni id moja mtu ambae humu ni mtu wa kawaida wala hakutaka kumuona yule dada alimwambia tafuta chuo chochote unipe bill yote nitalipa ukasome na mtoto nitamhudumia...abarikiwe sana huyu mtu.

ila hivi vibaharia njaa kama mimi kelele sasa!!!
 
Ninyi ndo wanaume wa kulazimisha penzi, mtu tayari anatombwa na mtu wake, we unamtongoza umle, ataliwa na wangapi? Akikukatalia unaanza shobo!

Nanyi wanawake acheni dharau kwa wanaume, pumbavu zenu
Kama kuna mtu anakukaza, mtu akikutongoza mwambie 'ombi lako kaka nimelisikia, ila nina mtu wangu ambaye ananihudumia, siwezi kuwa na wawili siwezi, ila akiniacha na kama utanipenda tena basi sawa" mtu anakuelewa bila kashfa.
 
Usikariri, hao ambao JF huwez kuwaona wanatafuta hela kwa jasho wengine wameachiwa za urithi.. shauri yako
 
Wanaume wenye hela mara nyingi wavivu kutype sasa ukiona vicomment uchwara ujue Ni miayo tu,,

Abarikiwe Sana huko aliko huyo mkaka unamsaidia mtu na hujionyeshi jamani, Kuna malaika wamo humu duniani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…