Shyrose hujaonewa

Hayo ya marinda na mitusi huko huko, tafadhal!
 
Mi nimemmic sana kwenye runinga,Aende Tbc akalete mabadiliko
 
Hoja iko wapi hapa? Kuvuta sigara mbona wapo wanawake wengi tu wanavuta sigara na wanafamilia zinazojiheshimu. Mtu kumkuta Club akiwa amejipumzisha ni kosa? Unamfahamu Governor Sonko wa Nairobi au unamsikia tu.
 
Sonko amechaguliwa na wananchi, na anawakilisha Nairobi huyu...tofautisha huyu ni Africa Mashariki yote na anachaguliwa huko huko wananchi hatuhusiki mbona Makongoro tunamjua alikuwa analewa mpaka anabebwa kwenye toroli, unadhani ameacha la hasha anajua mipaka ya dhamana aliyopewa hivyo hata kama anafanya siyo kama huyu bibie.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…