two types of surgeries apo kwenye bikiri line juu iyo ni normal laparatomy due to gynecological problem, hivyi vitundu vingine vilivyowekewa gauze ukiviangalia vizuri ni size ya laparascopic procedure for cholecystectomylaparascopic na hilo liplaster kwenye bikini line kwa juu? Na hivyo vitundu vingine vilivyowekewa gauze-?
Pole kamanda. Nimejishangalisha tu na ushamba wangu kuanika tumbo lenye madonda kule fb. Was that necessary? Ati nilimlaumu alietweet kuhuhu kufanyiwa kwako operation nikadhani kaingilia privacy yako. Kumbe hata angeweka na picha ya before op ingekuwa poa!
Pole mama, Mungu akuponye fasta. Endelwa kutupa progress.
watu wanapofanyiwa surgery kama hii huwa wanafanya siri,sasa huyu bibi sijui ndo anaona sifa mapicha na kujitangaza.nina wasiwasi ana kasoro kwenye ubongo huyu.
two types of surgeries apo kwenye bikiri line juu iyo ni normal laparatomy due to gynecological problem, hivyi vitundu vingine vilivyowekewa gauze ukiviangalia vizuri ni size ya laparascopic procedure for cholecystectomy
haahahha! mm nilisema nikaambulia kuambiwa ni mshamba. uwiiiiiiiii! mm hata nikiwa naumwa tu sitak dr a disclose kwa mtu baki juu ya uonjwa wangu sembuse kuonyesha madonda!!!!!
Mtu wenyewe ameshakuwa Bibi anahangaika na ya Duniani cjui anataka kumtega nani..!!
HA! some people bwana!Mtu wenyewe ameshakuwa Bibi anahangaika na ya Duniani cjui anataka kumtega nani..!!
It looks like laparascopic surgeries, get well soon
yes its laparascopic surgeries.
watu wanapofanyiwa surgery kama hii huwa wanafanya siri,sasa huyu bibi sijui ndo anaona sifa mapicha na kujitangaza.nina wasiwasi ana kasoro kwenye ubongo huyu.
Jamani hizi Lugha zenu hizi cc wengine Darasa la saba tu hatuelewi kitu hapa...hebu tuambieni anaumwa nini huyu Mama hapa juu..!!inshort tu..daahh..maana naona chenga chenga tu za mchela hapa!!
How so?. laparascopic?..na hiyo longitudinal gauze?
Laparoscopic surgery also referred to as minimally invasive surgery describes the performance of surgical procedures with the assistance of a video camera and several thin instruments. During the surgical procedure, small incisions of up to half an inch are made and plastic tubes called ports are placed through these incisions. The camera and the instruments are then introduced through the ports which allow access to the inside of the patient.
watu wenye iq below normal ndo matatizo yao. Ataona vitu visivyotakiwa kila mtu aone ndo vyakuonesha kwa jamii. Watu unamfanyia operation kesho yake ukimwambia funua nione kidonda anasita sembuse kuonesha picha hadharani!
Mmmmhhhh!!!! Hebu iandike kwa kiswahili kitupu hii mkuu.two types of surgeries apo kwenye bikiri line juu iyo ni normal laparatomy due to gynecological problem, hivyi vitundu vingine vilivyowekewa gauze ukiviangalia vizuri ni size ya laparascopic procedure for cholecystectomy