Habari zenu wakuu,kuna wakati mtu una haraka kuzima computer lakini inachelewa kuzima.Hii ni njia ya kuizima haraka.
1.Fungua task manager kwa kupress Ctrl+Alt+Del
2.Kwenye menu ya taskbar bonyeza shutdown then shikilia Ctrl kwa sekunde 3 then bonyeza turnoff
Computer yako itazima
NB:kwa ushauri tu,tumia njia hii wakati wa emergency kwani kuitumia mara kwa mara kutaharibu hard disk yako