Shutdown ni kuzima kabisa PC yako, kwa lengo la kutoitumia tena wakati huo. Hibernation inalingana na standby, ni kwa ajili ya kubana matumizi ya umeme unapopumzika kidogo kwa lengo la kuendelea na kazi muda mfupi baadaye. Uzuri wa hibernation na standby ni kuwa utakaporudi kuendelea na kazi uta press power button na mara moja itawaka. Tofauti na ku shutdown, itachukua muda kuwaka kwa ajili ya ku boot. Hibernation inabana matumizi ya umeme zaidi ya standby. Kumbuka hibernation siyo kwa ajili kuzima PC, ila ni kwa ajili ya kuiweka katika hali ya kulala na utakapo rudi kuendelea na kazi mara moja itawaka. For details, google. Nawakaribisha wataalamu.