Nena kwa lugha ya ndimi za moto utaeleweka tuSijuw nisemeje!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nena kwa lugha ya ndimi za moto utaeleweka tu
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji770] [emoji779] [emoji781] [emoji121]Nimeshangazwa na ukimya wa mamlaka na vitengo vyake... Hivi hawakulijua hili mapema? Kwanini wakaaa kimya? Hawakusoma? Kwanini waliacha uzushi usambae kwa karibia siku NNE nzima? Hii ni aibu Jamani ya akina Kakobe yamerukiwa haraka sana... Hili la upotoshaji halijaonekana... Hakika mtu akinambia hakuna Shurubati ya papa wala kamongo nitambishia MILELE-mshana jr
Meza mateSijuw nisemeje!!!
Lakini zikiokotwa si zinazikwa?mshana jr, Coco Beach kuna askari wa Doria 24/7 lakini maiti Bado zinaokotwa huku anayezutupa akiwa hajulikana Na pengine macho ya askari wa Doria yameshindwa kuwaona. Zis kantre Bwana vituko, dhuluma dhidi ya wasio Na hatia haviishi
Hakika. Tiba ya Kwanza ni toba ya dhati. Wafalme wa zamani walitumia kwa kujipaka majivu, kuvaa nguo za magunia, kufunga Na kuomba toba kwa Mungu. Utii ni Bora kuliko dhabihuTunahitaji kuliponya taifa
wee jamaa mtundu sanaView attachment 662225... Apite