Nipe specs na offer yako.habari wakuu. Natafuta shure wireless microphone, ni duka naweza kupata hapa Daresalama. nimepita maduka kadhaa bila mafanikio.View attachment 1172280
Nakushauri uagize. Utaipata in 2 weeks na bei itakuwa ni bora kuliko za hapa. Nilitafuta snowball mic kipindi flani bila mafanikio, alafu nilipopata kwa mtu anauza bei haieleweki. Nikaorder tu.habari wakuu. Natafuta shure wireless microphone, ni duka naweza kupata hapa Daresalama. nimepita maduka kadhaa bila mafanikio.View attachment 1172280