Shule zimefungwa, mzazi/mlezi pita hapa tujadiliane kidogo

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,453
20,712
Mungu akipenda mwakani anaingia standard four na huu ni moja ya mtihani wake ktk somo la Jiografia ambao aliufanya mwezi wa 11/2016 katika muhula wa mwisho wa kufungia mwaka.

Ukiwa kama mzazi unayesomesha mtoto/watoto au mzazi unayetarajia kuanza kulipa ada kwa mara ya kwanza mwakani, una maoni gani juu ya elimu yake? Nini anapaswa kukizingatia?

Weka maoni yako hapa, nitamfikishia. Mimi ni baba yake mzazi.

Natanguliza shukrani.

 
Hi ndiyo mitihani inayotungwa na walimu wa Chuo cha kata UDOM& na walimu waliotokea shule za SEDP!
Masihara hayo bombadier....is it serious?...wakuu wa UDOM ni la kweli hili?.jibu lenu Tafadhali.
 
Endelea kumtengenezea mazingira ya kupenda kujisomea, pia dadisi mapema ili uijue future yake, hii Ni kwaajili ya kumjemgea msingi mzuri..!!

N.B hesabu lazima afanye za kutosha kwa afya ya ubongo wake
 
Endelea kumtengenezea mazingira ya kupenda kujisomea, pia dadisi mapema ili uijue future yake, hii Ni kwaajili ya kumjemgea msingi mzuri..!!

N.B hesabu lazima afanye za kutosha kwa afya ya ubongo wake
asante mkuu.
term hii hesabu hajafanya vizuri sana,ila term iliyopita ali perform vizuri.

nitaweka bidii ya kumsisitizia kuhusu ushauri wako juu ya somo la hesabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…