Shule zimefungwa, mzazi/mlezi pita hapa tujadiliane kidogo


kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
21,508
Likes
16,469
Points
280
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
21,508 16,469 280
Mungu akipenda mwakani anaingia standard four na huu ni moja ya mtihani wake ktk somo la Jiografia ambao aliufanya mwezi wa 11/2016 katika muhula wa mwisho wa kufungia mwaka.

Ukiwa kama mzazi unayesomesha mtoto/watoto au mzazi unayetarajia kuanza kulipa ada kwa mara ya kwanza mwakani, una maoni gani juu ya elimu yake? Nini anapaswa kukizingatia?

Weka maoni yako hapa, nitamfikishia. Mimi ni baba yake mzazi.

Natanguliza shukrani.

 
Amoxlin

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Messages
3,623
Likes
3,686
Points
280
Amoxlin

Amoxlin

JF-Expert Member
Joined May 30, 2016
3,623 3,686 280
Asilewe sifa, aongeze bidii zaidi.
 
Buhongwa Kwetu

Buhongwa Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2016
Messages
227
Likes
136
Points
60
Buhongwa Kwetu

Buhongwa Kwetu

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2016
227 136 60
Yupo vizuri, mwambie akaze buti safari ndiyo kwanza inaanza
 
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
21,508
Likes
16,469
Points
280
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
21,508 16,469 280
Yupo vizuri, mwambie akaze buti safari ndiyo kwanza inaanza
ni kweli mkuu,safari yake bado changa sana ina milima na mabonde mpaka afike Chuo kikuu.
 
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
15,903
Likes
39,650
Points
280
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
15,903 39,650 280
Azidi kukaza buti zaidi
 
B

bombadier

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Messages
437
Likes
294
Points
80
Age
33
B

bombadier

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2016
437 294 80
Hi ndiyo mitihani inayotungwa na walimu wa Chuo cha kata UDOM& na walimu waliotokea shule za SEDP!
 
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Messages
1,813
Likes
1,554
Points
280
Adolph hitler jr

Adolph hitler jr

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2016
1,813 1,554 280
Duuuh...
 
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
21,508
Likes
16,469
Points
280
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
21,508 16,469 280
Hi ndiyo mitihani inayotungwa na walimu wa Chuo cha kata UDOM& na walimu waliotokea shule za SEDP!
Masihara hayo bombadier....is it serious?...wakuu wa UDOM ni la kweli hili?.jibu lenu Tafadhali.
 
Mr.Wenger

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Messages
1,422
Likes
2,178
Points
280
Age
32
Mr.Wenger

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2014
1,422 2,178 280
Muandali tu mtonyo wa kusoma University maana mikopo haitakuwepo
 
bhachu

bhachu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
5,050
Likes
4,318
Points
280
Age
31
bhachu

bhachu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
5,050 4,318 280
Mkuu wewe ni mhaya nini?
 
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
21,508
Likes
16,469
Points
280
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
21,508 16,469 280
Mkuu wewe ni mhaya nini?
hapana mkuu,ila wahaya ni shemeji zangu wa zamani,niliwahi ku-date na dada yao miaka kadhaa iliyopita.
 
kabon14

kabon14

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Messages
1,153
Likes
742
Points
280
kabon14

kabon14

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2016
1,153 742 280
Endelea kumtengenezea mazingira ya kupenda kujisomea, pia dadisi mapema ili uijue future yake, hii Ni kwaajili ya kumjemgea msingi mzuri..!!

N.B hesabu lazima afanye za kutosha kwa afya ya ubongo wake
 
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Messages
21,508
Likes
16,469
Points
280
kadoda11

kadoda11

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2011
21,508 16,469 280
Endelea kumtengenezea mazingira ya kupenda kujisomea, pia dadisi mapema ili uijue future yake, hii Ni kwaajili ya kumjemgea msingi mzuri..!!

N.B hesabu lazima afanye za kutosha kwa afya ya ubongo wake
asante mkuu.
term hii hesabu hajafanya vizuri sana,ila term iliyopita ali perform vizuri.

nitaweka bidii ya kumsisitizia kuhusu ushauri wako juu ya somo la hesabu.
 
Y

YABUUU

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Messages
1,406
Likes
1,214
Points
280
Y

YABUUU

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2015
1,406 1,214 280
n mtihan wa pre-form one au prmary n jib tafadhar
 

Forum statistics

Threads 1,273,538
Members 490,428
Posts 30,484,489