kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,456
- 20,709
Mungu akipenda mwakani anaingia standard four na huu ni moja ya mtihani wake ktk somo la Jiografia ambao aliufanya mwezi wa 11/2016 katika muhula wa mwisho wa kufungia mwaka.
Ukiwa kama mzazi unayesomesha mtoto/watoto au mzazi unayetarajia kuanza kulipa ada kwa mara ya kwanza mwakani, una maoni gani juu ya elimu yake? Nini anapaswa kukizingatia?
Weka maoni yako hapa, nitamfikishia. Mimi ni baba yake mzazi.
Natanguliza shukrani.